Psalms 7:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
La sivyo, watakuja kunirarua kama simba, wakanivutia mbali, pasiwe na wa kuniokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
la sivyo watanirarua kama simba na kunichana vipande vipande, asiwepo wa kuniokoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asije akaipapura nafsi yangu kama simba, Akiivunja-vunja pasipokuwa na wa kuponya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
La sivyo, watakuja kunirarua kama simba, wakanivutia mbali, pasiwe na wa kuniokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
la sivyo watanirarua kama simba na kunichana vipande vipande asiwepo wa kuniokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
la sivyo watanirarua kama simba na kunichana vipande vipande, asiwepo wa kuniokoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asije akaipapura nafsi yangu kama simba, Akaniburura hadi pasipokuwa na wa kuniponya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
La sivyo, watakuja kunirarua kama simba, wakanivutia mbali, pasiwe na wa kuniokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wasiirarue roho yangu kama simba, wakainyafuanyafua, nisipopata mwokozi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asije akaipapura nafsi yangu kama simba, Akiivunja-vunja pasipokuwa na wa kuponya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, Mungu wangu, ninakukimbilia wewe. Uniokoe kutoka wote wanaonitesa, uniponyeshe.