Psalms 7:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu! Kama nimetenda moja ya mambo haya: Kama nimechafua mikono yangu kwa ubaya,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, kama nimetenda haya na kuna hatia mikononi mwangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, Mungu wangu, ikiwa nimetenda haya, Ikiwa mna uovu mikononi mwangu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu! Kama nimetenda moja ya mambo haya: kama nimechafua mikono yangu kwa ubaya,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, Mungu wangu, kama nimetenda haya na kuna hatia mikononi mwangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, Mungu wangu, kama nimetenda haya na kuna hatia mikononi mwangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, Mungu wangu, ikiwa nimetenda haya, Ikiwa mna uovu mikononi mwangu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu! Kama nimetenda moja ya mambo haya: Kama nimechafua mikono yangu kwa ubaya,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu wangu, kama yako mambo, niliyoyafanya, kikawamo kipotovu mikononi mwangu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, Mungu wangu, ikiwa nimetenda haya, Ikiwa mna uovu mikononi mwangu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama si vile, watakuja kunirarua kama simba, kunipasua vipandevipande wala hakuna wa kuniokoa.