Psalms 7:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kama nimemlipa rafiki yangu mabaya badala ya mema, au nimemshambulia adui yangu bila sababu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
au ikiwa nimemtenda uovu aliye na amani nami, au nimemnyang’anya adui yangu pasipo sababu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikiwa nimemlipa mabaya Yeye aliyekaa kwangu salama; (Hasha! Nimemponya yeye Aliyekuwa mtesi wangu bila sababu;)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kama nimemlipa rafiki yangu mabaya badala ya mema, au nimemshambulia adui yangu bila sababu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
au ikiwa nimetenda uovu kwake yeye aliye na amani nami, au pasipo sababu nimemnyang'anya adui yangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
au ikiwa nimemtenda uovu aliye na amani nami, au nimemnyang’anya adui yangu pasipo sababu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa nimemlipa mabaya Yeye aliyekaa kwangu salama; (Hasha! Nimemponya yeye Aliyekuwa mtesi wangu bila sababu;)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kama nimemlipa rafiki yangu mabaya badala ya mema, au nimemshambulia adui yangu bila sababu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kama nimemkorofisha mwenzangu, tuliyepatana naye, naye aliyenisonga bure nikamwokoa:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikiwa nimemlipa mabaya Yeye aliyekaa kwangu salama; (Hasha! Nimemponya yeye Aliyekuwa mtesi wangu bila sababu;)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, Mungu wangu! Kama nimetenda moja ya mambo haya: kama nimechafua mikono yangu kwa ubaya,