Psalms 7:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, adui na anifuatie na kunikamata; ayakanyage maisha yangu; na kuniulia mbali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi adui anifuatie na kunipata, auponde uhai wangu ardhini na kunilaza mavumbini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi adui na anifuatie, Na kuikamata nafsi yangu; Naam, aukanyage uzima wangu, Na kuulaza utukufu wangu mavumbini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, adui na anifuatie na kunikamata; ayakanyage maisha yangu; na kuniulia mbali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi adui anifuatie na kunipata, auponde uhai wangu ardhini na kunilaza mavumbini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi adui anifuatie na kunipata, auponde uhai wangu ardhini na kunilaza mavumbini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi adui na anifuatie, Na kuikamata nafsi yangu; Naam, aukanyage uzima wangu, Na kuulaza utukufu wangu mavumbini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, adui na anifuatie na kunikamata; ayakanyage maisha yangu; na kuniulia mbali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, mchukivu na aikimbize roho yangu, aikamate na kunikanyaga hapo chini, anitoe uzimani, nao utukufu wangu aukalishe mavumbini!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi adui na anifuatie, Na kuikamata nafsi yangu; Naam, aukanyage uzima wangu, Na kuulaza utukufu wangu mavumbini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kama nimemurudishia rafiki yangu mabaya pahali pa mema, au nimemunyanganya adui yangu bila sababu,