Psalms 7:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wayahukumu mataifa; unihukumu kadiri ya uadilifu wangu, kulingana na huo unyofu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu na awahukumu makabila ya watu. Nihukumu Ee Mwenyezi Mungu, kwa kadiri ya haki yangu, kwa kadiri ya uadilifu wangu, Ewe Uliye Juu Sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana atawaamua mataifa, Bwana, unihukumu mimi, Kwa kadiri ya haki yangu, Sawasawa na unyofu nilio nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wayahukumu mataifa; unihukumu kadiri ya uadilifu wangu, kulingana na huo unyofu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA na awahukumu kabila za watu. Unihukumu Ee BWANA, kwa kadiri ya haki yangu, kwa kadiri ya uadilifu wangu, Ewe Uliye Juu Sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana na awahukumu kabila za watu. Nihukumu Ee bwana, kwa kadiri ya haki yangu, kwa kadiri ya uadilifu wangu, Ewe Uliye Juu Sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA atawaamua mataifa, BWANA, unihukumu mimi, Kwa kadiri ya haki yangu, Kulingana na unyofu nilio nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wayahukumu mataifa; unihukumu kadiri ya uadilifu wangu, kulingana na huo unyofu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ndiye atakayewahukumu watu wote; nami niamulie, Bwana, kwa kuwa mwongofu pasipo kosa, nifanyalo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA atawaamua mataifa, BWANA, unihukumu mimi, Kwa kadiri ya haki yangu, Sawasawa na unyofu nilio nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukusanye mataifa kandokando yako, nawe uyatawale tokea kule juu.