Psalms 7:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uukomeshe uovu wa watu wabaya, uwaimarishe watu walio wema, ee Mungu uliye mwadilifu, uzijuaye siri za mioyo na fikira za watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu mwenye haki, uchunguzaye mawazo na mioyo, komesha ghasia za waovu na ufanye wenye haki waishi kwa amani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ubaya wao wasio haki na ukome, Lakini umthibitishe mwenye haki. Kwa maana mjaribu mioyo na viuno Ndiye Mungu aliye mwenye haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uukomeshe uovu wa watu wabaya, uwaimarishe watu walio wema, ee Mungu uliye mwadilifu, uzijuaye siri za mioyo na fikira za watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu mwenye haki, uchunguzaye mawazo na mioyo, komesha ghasia za waovu na ufanye wenye haki waishi kwa amani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu mwenye haki, uchunguzaye mawazo na mioyo, komesha ghasia za waovu na ufanye wenye haki waishi kwa amani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ubaya wao wasio haki na ukome, Lakini umthibitishe mwenye haki. Kwa maana mjaribu mioyo na fikira Ndiye Mungu aliye mwenye haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uukomeshe uovu wa watu wabaya, uwaimarishe watu walio wema, ee Mungu uliye mwadilifu, uzijuaye siri za mioyo na fikira za watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ubaya wao wasiomcha Mungu sharti ukomeshwe, lakini mwongofu umshikize, apate kusimama! Mwenye kujaribu mioyo na mafigo ni wewe, Mungu mwongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ubaya wao wasio haki na ukome, Lakini umthibitishe mwenye haki. Kwa maana mjaribu mioyo na viuno Ndiye Mungu aliye mwenye haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe, ee Yawe, unayehukumu mataifa, unihukumu kadiri ya haki yangu, kulingana na ukamilifu wangu.