Psalms 70:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi ya matoleo ya ukumbusho) Upende kuniokoa ee Mungu! Ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, ufanye haraka kuniokoa; Ee Mwenyezi Mungu, njoo hima unisaidie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, uniokoe, Ee Bwana, unisaidie hima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upende kuniokoa ee Mungu! Ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi. Maombolezo) Ee Mungu, ufanye haraka kuniokoa, Ee BWANA, njoo hima unisaidie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, ufanye haraka kuniokoa; Ee bwana, njoo hima unisaidie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, uniokoe, Ee BWANA, unisaidie hima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upende kuniokoa ee Mungu! Ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, piga mbio, uniopoe! Bwana, pigambio, unisaidie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, uniokoe, Ee BWANA, unisaidie hima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Daudi inayoelekea sadaka yake ya ukumbusho.