Psalms 70:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanaonuia kuniangamiza, na waaibike na kufedheheka! Hao wanaotamani niumie, na warudi nyuma na kuaibika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wanaotafuta kuniua, waaibishwe na kufadhaishwa; wote wanaotamani kuangamizwa kwangu, warudishwe nyuma kwa aibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waaibike, wafedheheke, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, watahayarishwe, Wapendezwao na shari yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaonuia kuniangamiza, na waaibike na kufedheheka! Hao wanaotamani niumie, na warudi nyuma na kuaibika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waaibike na kufedheheshwa wale wanaotafuta uhai wangu; wale wanaotamani kuangamizwa kwangu warudishwe nyuma kwa aibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wanaotafuta kuuondoa uhai wangu, waaibishwe na kufadhaishwa; wote wanaotamani kuangamizwa kwangu, warudishwe nyuma kwa aibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waaibike, wafedheheke, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, watahayarishwe, Wapendezwao na shari yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaonuia kuniangamiza, na waaibike na kufedheheka! Hao wanaotamani niumie, na warudi nyuma na kuaibika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti wapatwe na soni wakiumbuliwa walioitafuta roho yangu. Sharti warudishwe nyuma na kutwezwa wao waliopendezwa na mabaya yaliyonipata mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waaibike, wafedheheke, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, watahayarishwe, Wapendezwao na shari yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, uniokoe! Ee Yawe, ukuje haraka unisaidie.