Psalms 70:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao wanaonisimanga, na wapumbazike kwa kushindwa kwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wanaoniambia, “Aha! Aha!” na warudi nyuma kwa sababu ya aibu yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Warudi nyuma, na iwe aibu yao, Wanaosema, Ewe! Ewe!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao wanaonisimanga, na wapumbazike kwa kushindwa kwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale waniambiao, “Aha! Aha!” warudi nyuma kwa sababu ya aibu yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale waniambiao, “Aha! Aha!” warudi nyuma kwa sababu ya aibu yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Warudi nyuma, na iwe aibu yao, Wanaosema, Ewe! Ewe!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao wanaonisimanga, na wapumbazike kwa kushindwa kwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti warudi nyuma na kuona soni wale walioniambia: Weye! Weye!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Warudi nyuma, na iwe aibu yao, Wanaosema, Ewe! Ewe!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wapate haya na kufezeheka wanaotaka kuniua! Warudi nyuma na kufezeheka wanaonitakia hasara!