Psalms 70:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami niliye maskini na fukara, unijie haraka, ee Mungu! Ndiwe msaada wangu na mkombozi wangu; ee Mwenyezi-Mungu, usikawie!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mimi bado ni maskini na mhitaji; Ee Mungu, unijie haraka. Wewe ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu; Ee Mwenyezi Mungu, usikawie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami ni maskini na mhitaji, Ee Mungu, unijilie kwa haraka. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee Bwana, usikawie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami niliye maskini na fukara, unijie haraka, ee Mungu! Ndiwe msaada wangu na mkombozi wangu; ee Mwenyezi-Mungu, usikawie!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata sasa mimi ni maskini na mhitaji; Ee Mungu, unijie haraka. Wewe ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu; Ee BWANA, usikawie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini bado mimi ni maskini na mhitaji; Ee Mungu, unijie haraka. Wewe ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu; Ee bwana, usikawie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami ni maskini na mhitaji, Ee Mungu, unijilie kwa haraka. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee BWANA, usikawie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami niliye maskini na fukara, unijie haraka, ee Mungu! Ndiwe msaada wangu na mkombozi wangu; ee Mwenyezi-Mungu, usikawie!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami mnyonge, hata mkiwa; Mungu, piga mbio, unijie! Msaada wangu na wokovu wangu ndiwe wewe; wewe Bwana, usinikawilie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami ni maskini na mhitaji, Ee Mungu, unijilie kwa haraka. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee BWANA, usikawie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wote wanaokutafuta, wafurahi na kushangilia kwa sababu yako. Wote wanaopenda wokovu wako, waseme siku zote: “Mungu ni mukubwa!”