Psalms 71:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana maadui zangu wanasema vibaya juu yangu; wanaovizia uhai wangu wanafanya mipango,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana adui zangu wananisengenya, wale wanaotaka kuniua wanapanga njama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana adui zangu wananiamba, Nao wanaoniotea roho yangu hushauriana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana maadui zangu wanasema vibaya juu yangu; wanaovizia uhai wangu wanafanya mipango,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana adui zangu wananisengenya, wale wanaonivizia kuniua wafanya hila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana adui zangu wananisengenya, wale wanaonivizia kuniua wafanya hila.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana adui zangu husema juu yangu, Nao wanaotaka kuniua hushauriana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana maadui zangu wanasema vibaya juu yangu; wanaovizia uhai wangu wanafanya mipango,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wachukivu wangu wamekwisha kusema, nao wanaoingoja roho yangu wamekula njama pamoja:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana adui zangu wananiamba, Nao wanaoniotea roho yangu hushauriana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana waadui zangu wanasema vibaya juu yangu; wanaovizia maisha yangu wanafanya mipango,