Psalms 71:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kusema: “Mungu amemwacha; mfuateni na kumkamata, kwani hakuna wa kumwokoa!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanasema, “Mungu amemwacha, mkimbilieni mkamkamate, kwani hakuna wa kumwokoa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakisema, Mungu amemwacha, Mfuatieni, mkamateni, hakuna wa kumponya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kusema: “Mungu amemwacha; mfuateni na kumkamata, kwani hakuna wa kumwokoa!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanasema, “Mungu amemwacha, mkimbilieni mumkamate, kwani hakuna wa kumwokoa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanasema, “Mungu amemwacha, mkimbilieni mkamkamate, kwani hakuna wa kumwokoa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakisema, Mungu amemwacha, Mfuatieni, mkamateni, hakuna wa kumponya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kusema: “Mungu amemwacha; mfuateni na kumkamata, kwani hakuna wa kumwokoa!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu amemwacha; mkimbizeni, mmkamate! Kwani hakuna tena atakayemwopoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakisema, Mungu amemwacha, Mfuatieni, mkamateni, hakuna wa kumponya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kusema: “Mungu amemwachilia; mumufuate na kumukamata, kwa maana hakuna wa kumwokoa!”