Psalms 71:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usikae mbali nami, ee Mungu; uje haraka kunisaidia, ee Mungu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, usiwe mbali nami, njoo haraka kunisaidia, Ee Mungu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, usiwe mbali nami; Ee Mungu wangu, fanya haraka kunisaidia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usikae mbali nami, ee Mungu; uje haraka kunisaidia, ee Mungu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, usiwe mbali nami, Ee Mungu wangu njoo haraka kunisaidia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, usiwe mbali nami, njoo haraka kunisaidia, Ee Mungu wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, usiwe mbali nami; Ee Mungu wangu, fanya haraka kunisaidia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usikae mbali nami, ee Mungu; uje haraka kunisaidia, ee Mungu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe Mungu, usiniendee mbali! Mungu wangu, piga mbio, unisaidie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, usiwe mbali nami; Ee Mungu wangu, fanya haraka kunisaidia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usikae mbali nami, ee Mungu; ukuje haraka unisaidie, ee Mungu wangu.