Psalms 71:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wapinzani wangu wote waaibishwe na kuangamizwa; wenye kutaka kuniumiza wapate aibu na fedheha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Washtaki wangu na waangamie kwa aibu, wale wanaotaka kunidhuru na wafunikwe kwa dharau na fedheha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waaibishwe, watoweshwe, adui za nafsi yangu. Wavikwe laumu na aibu wanaonitakia mabaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wapinzani wangu wote waaibishwe na kuangamizwa; wenye kutaka kuniumiza wapate aibu na fedheha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Washtaki wangu na waangamie kwa aibu, wale wanaotaka kunidhuru na wafunikwe kwa dharau na fedheha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Washtaki wangu na waangamie kwa aibu, wale wanaotaka kunidhuru na wafunikwe kwa dharau na fedheha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waaibishwe, watoweshwe, adui za nafsi yangu. Wavikwe laumu na aibu wanaonitakia mabaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wapinzani wangu wote waaibishwe na kuangamizwa; wenye kutaka kuniumiza wapate aibu na fedheha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti wapatwe na soni, sharti waangamie wao waliotakia mabaya roho yangu. Sharti wajifunike kwa kutwezwa wakiumbuka waliotafuta mabaya ya kunifanyizia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waaibishwe, watoweshwe, adui za nafsi yangu. Wavikwe laumu na aibu wanaonitakia mabaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wapinzani wangu wote wafezeheke na kuangamizwa; wenye kuvizia kuniua wafezeheke na kuzarauliwa.