Psalms 71:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi nitakuwa na matumaini daima; tena nitakusifu zaidi na zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mimi nitatumaini siku zote; nitakusifu zaidi na zaidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitatumaini daima, Nitazidi kuongeza sifa zake zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi nitakuwa na matumaini daima; tena nitakusifu zaidi na zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mimi, nitatumaini siku zote, nitakusifu zaidi na zaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mimi, nitatumaini siku zote, nitakusifu zaidi na zaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mimi nitakutumainia daima, Nitaendelea kukusifu zaidi na zaidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi nitakuwa na matumaini daima; tena nitakusifu zaidi na zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi nitangoja siku zote pamoja na kufuliza kukupigia shangwe vivyo hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitatumaini daima, Nitazidi kuongeza sifa zake zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi nitakuwa na matumaini siku zote; tena nitakusifu zaidi na zaidi.