Psalms 71:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kinywa changu kitatamka matendo yako ya haki, nitatangaza mchana kutwa matendo yako ya wokovu ijapokuwa hayo yanapita akili zangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kinywa changu kitasimulia haki yako, wokovu wako mchana kutwa, ingawa sifahamu kipimo chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kinywa changu kitasimulia haki na wokovu wako Mchana kutwa; maana sijui hesabu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kinywa changu kitatamka matendo yako ya haki, nitatangaza mchana kutwa matendo yako ya wokovu ijapokuwa hayo yanapita akili zangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kinywa changu kitasimulia haki yako, wokovu wako mchana kutwa, ingawa sifahamu kipimo chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kinywa changu kitasimulia haki yako, wokovu wako mchana kutwa, ingawa sifahamu kipimo chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mimi nitakutumainia daima Na nitaendelea kukusifu zaidi na zaidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kinywa changu kitatamka matendo yako ya haki, nitatangaza mchana kutwa matendo yako ya wokovu ijapokuwa hayo yanapita akili zangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kinywa changu kitayasimulia mambo ya wongofu wako na kuutangaza wokovu wako siku zote, kwani sijui kuyahesabu, kama ni mangapi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kinywa changu kitasimulia haki na wokovu wako Mchana kutwa; maana sijui hesabu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kinywa changu kitaeleza matendo yako ya haki, nitatangaza muchana kutwa matendo yako ya wokovu ijapokuwa hayo yanapita akili yangu.