Psalms 71:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitataja matendo yako makuu, ee Bwana Mwenyezi-Mungu; nitatangaza kuwa ndiwe mwadilifu peke yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana Mungu Mwenyezi, nitakuja na kutangaza matendo yako makuu, nitatangaza haki yako, yako peke yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitakuja na mambo ya ajabu ya Bwana MUNGU; Nitawakumbusha watu haki yako Wewe peke yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitataja matendo yako makuu, ee Bwana Mwenyezi-Mungu; nitatangaza kuwa ndiwe mwadilifu peke yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA Mwenyezi, nitakuja na kutangaza matendo yako makuu, nitatangaza haki yako, yako peke yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana Mwenyezi, nitakuja na kutangaza matendo yako makuu, nitatangaza haki yako, yako peke yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitakuja na mambo ya ajabu ya Bwana MUNGU; Nitawakumbusha watu haki yako Wewe peke yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitataja matendo yako makuu, ee Bwana Mwenyezi-Mungu; nitatangaza kuwa ndiwe mwadilifu peke yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninaendelea bado kwa nguvu za Bwana Mungu zilizo kuu, ninayowakumbusha si mengine, ni wongofu wako tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitakuja na mambo ya ajabu ya Bwana MUNGU; Nitawakumbusha watu haki yako Wewe peke yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitataja matendo yako makubwa, ee Bwana wangu Yawe; nitatangaza kwamba wewe ndiwe mwenye haki.