Psalms 71:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nguvu na uadilifu wako, ee Mungu, vyafika mpaka mbingu za juu. Wewe umefanya mambo makuu mno. Ee Mungu, ni nani aliye kama wewe?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, haki yako imefika juu Lakini mimi mbingu, wewe ambaye umefanya mambo makuu. Ee Mungu, ni nani aliye kama wewe?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na haki yako, Ee Mungu, Imefika juu sana. Wewe uliyefanya mambo makuu; Ee Mungu, ni nani aliye kama Wewe?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nguvu na uadilifu wako, ee Mungu, vyafika mpaka mbingu za juu. Wewe umefanya mambo makuu mno. Ee Mungu, ni nani aliye kama wewe?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, haki yako imefika juu katika mbingu, wewe ambaye umefanya mambo makuu. Ee Mungu, ni nani aliye kama wewe?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, haki yako imefika juu katika mbingu, wewe ambaye umefanya mambo makuu. Ee Mungu, ni nani aliye kama wewe?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na haki yako, Ee Mungu, Imefika juu sana. Wewe uliyefanya mambo makuu; Ee Mungu, ni nani aliye kama Wewe?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nguvu na uadilifu wako, ee Mungu, vyafika mpaka mbingu za juu. Wewe umefanya mambo makuu mno. Ee Mungu, ni nani aliye kama wewe?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wongofu wako, Mungu, unakua kufika hata mbinguni, wewe ndiwe ufanyaye mambo makuu. Mungu, afananaye na wewe yuko nani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na haki yako, Ee Mungu, Imefika juu sana. Wewe uliyefanya mambo makuu; Ee Mungu, ni nani aliye kama Wewe?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nguvu na haki yako, ee Mungu, vinafika mpaka juu katika mbingu. Wewe umefanya mambo makubwa sana. Ee Mungu, ni nani anayekuwa kama wewe?