Psalms 71:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umenifanya nione taabu nyingi ngumu, lakini utanirudishia tena uhai, wewe utaniinua tena kutoka huko chini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa umenifanya nipate taabu nyingi na chungu, utanihuisha tena, kutoka vilindi vya dunia utaniinua tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe, uliyetuonyesha mateso mengi, mabaya, Utatuhuisha tena. Utatupandisha juu tena Tokea pande za chini ya nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umenifanya nione taabu nyingi ngumu, lakini utanirudishia tena uhai, wewe utaniinua tena kutoka huko chini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa umenifanya nipate taabu, nyingi na chungu, utanihuisha tena, kutoka vilindi vya dunia utaniinua tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa umenifanya nipate taabu, nyingi na chungu, utanihuisha tena, kutoka vilindi vya dunia utaniinua tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe, uliyetuonesha mateso mengi, mabaya, Utatuhuisha tena. Utatupandisha juu tena Tokea pande za chini ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umenifanya nione taabu nyingi ngumu, lakini utanirudishia tena uhai, wewe utaniinua tena kutoka huko chini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe ulipotuacha, tuliona masongano mengi na mabaya; lakini utaturudisha tena, utupatie uzima, utatutoa huko ndani ya nchi, utuweke juu yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe, uliyetuonyesha mateso mengi, mabaya, Utatuhuisha tena. Utatupandisha juu tena Tokea pande za chini ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umeniletea taabu kubwa, lakini utanirudishia tena uzima, wewe utaniinua tena kutoka katika shimo.