Psalms 71:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitapaza sauti kwa furaha, ninapokuimbia wewe sifa zako, na roho yangu itakusifu maana umeniokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Midomo yangu itapaza sauti kwa furaha ninapokuimbia sifa, mimi, ambaye umenikomboa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Midomo yangu itafurahi sana nikuimbiapo, Na nafsi yangu uliyoikomboa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitapaza sauti kwa furaha, ninapokuimbia wewe sifa zako, na roho yangu itakusifu maana umeniokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Midomo yangu itapaza sauti kwa furaha ninapokuimbia sifa, mimi, ambaye umenikomboa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Midomo yangu itapaza sauti kwa furaha ninapokuimbia sifa, mimi, ambaye umenikomboa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Midomo yangu itafurahi sana nikuimbiapo, Na nafsi yangu uliyoikomboa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitapaza sauti kwa furaha, ninapokuimbia wewe sifa zako, na roho yangu itakusifu maana umeniokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Midomo yangu inashangilia, kwa hiyo ninakuimbia, roho yangu inashangilia nayo, kwa maana umeikomboa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Midomo yangu itafurahi sana nikuimbiapo, Na nafsi yangu uliyoikomboa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitanyanyua sauti kwa furaha, ninapokuimbia wewe sifa zako, na roho yangu itakusifu, maana umeniokoa.