Psalms 71:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitatamka uadilifu wako mchana kutwa, maana waliotaka kuniumiza wameaibishwa na kufedheheshwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulimi wangu utasimulia matendo yako ya haki mchana kutwa, kwa maana wale waliotaka kunidhuru, wameaibishwa na kufadhaishwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulimi wangu nao utasimulia Haki yako mchana kutwa. Kwa maana wameaibishwa, Wametahayarika, wanaonitakia mabaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitatamka uadilifu wako mchana kutwa, maana waliotaka kuniumiza wameaibishwa na kufedheheshwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulimi wangu utasimulia matendo yako ya haki mchana kutwa, kwa maana wale waliotaka kunidhuru, wameaibishwa na kufadhaishwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulimi wangu utasimulia matendo yako ya haki mchana kutwa, kwa maana wale waliotaka kunidhuru, wameaibishwa na kufadhaishwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulimi wangu nao utasimulia Haki yako mchana kutwa. Kwa maana wameaibishwa, Wametahayarika, wanaonitakia mabaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitatamka uadilifu wako mchana kutwa, maana waliotaka kuniumiza wameaibishwa na kufedheheshwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ulimi wangu unausimulia wongofu wako mchana kutwa, kwani waliotafuta mabaya ya kunifanyizia huiva nyuso kwa soni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulimi wangu nao utasimulia Haki yako mchana kutwa. Kwa maana wameaibishwa, Wametahayarika, wanaonitakia mabaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitatangaza haki yako muchana kutwa, maana wanaonitakia hasara wamefezeheka na kuzarauliwa.