Psalms 71:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niokoe, ee Mungu wangu, mikononi mwa waovu, kutoka makuchani mwa wabaya na wakatili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu wangu uniokoe kutoka mkono wa mwovu, kutoka makucha ya watu wapotovu na wakatili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu wangu, uniopoe mkononi mwa mkorofi, Katika mkono wake mwovu, mdhalimu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niokoe, ee Mungu wangu, mikononi mwa waovu, kutoka makuchani mwa wabaya na wakatili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu wangu uniokoe kutoka kwenye mkono wa mwovu, kutoka kwenye makucha ya watu wabaya na wakatili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu wangu uniokoe kutoka kwenye mkono wa mwovu, kutoka kwenye makucha ya watu wabaya na wakatili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu wangu, uniponye mkononi mwa mkorofi, Katika mkono wake mwovu na mdhalimu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niokoe, ee Mungu wangu, mikononi mwa waovu, kutoka makuchani mwa wabaya na wakatili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu wangu, niponye mikononi mwao wasiokucha! Namo mikononi mwao wapotovu namo mwao wakorofi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu wangu, uniopoe mkononi mwa mkorofi, Katika mkono wake mwovu, mdhalimu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniokoe, ee Mungu wangu, kutoka mikono ya waovu, kutoka makucha ya watu wabaya na wakali.