Psalms 71:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana wewe Bwana u tumaini langu; tegemeo langu ee Mwenyezi-Mungu, tangu ujana wangu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa umekuwa tumaini langu, Ee Bwana Mungu Mwenyezi, tegemeo langu tangu ujana wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ndiwe taraja langu, Ee Bwana MUNGU, Tumaini langu tokea ujana wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana wewe Bwana u tumaini langu; tegemeo langu ee Mwenyezi-Mungu, tangu ujana wangu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA Mwenyezi, kwa kuwa umekuwa tumaini langu, tegemeo langu tangu ujana wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa umekuwa tumaini langu, Ee bwana Mwenyezi, tegemeo langu tangu ujana wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ndiwe tegemeo langu, Ee Bwana MUNGU, Tumaini langu tokea ujana wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana wewe Bwana u tumaini langu; tegemeo langu ee Mwenyezi-Mungu, tangu ujana wangu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wewe Bwana Mungu, u kingojeo changu, u kimbilio langu tangu hapo, nilipokuwa mtoto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ndiwe taraja langu, Ee Bwana MUNGU, Tumaini langu tokea ujana wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana wewe, Bwana wangu Yawe, ni tumaini langu, tegemeo langu tangu ujana wangu.