Psalms 71:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nimekutegemea tangu kuzaliwa kwangu, ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu. Mimi nitakusifu wewe daima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tangu kuzaliwa nimekutegemea wewe, ulinitoa tumboni mwa mama yangu. Nitakusifu wewe daima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimekutegemea Wewe tangu kuzaliwa, Ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu, Ninakusifu Wewe daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nimekutegemea tangu kuzaliwa kwangu, ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu. Mimi nitakusifu wewe daima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tangu kuzaliwa nimekutegemea wewe, ulinitoa tumboni mwa mama yangu. Nitakusifu wewe daima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tangu kuzaliwa nimekutegemea wewe, ulinitoa tumboni mwa mama yangu. Nitakusifu wewe daima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimekutegemea Wewe tangu kuzaliwa, Ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu, Ninakusifu Wewe daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nimekutegemea tangu kuzaliwa kwangu, ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu. Mimi nitakusifu wewe daima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimejishikiza kwako tangu hapo, nilipozaliwa, wewe ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu; ninakushangilia siku zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimekutegemea Wewe tangu kuzaliwa, Ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu, Ninakusifu Wewe daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimekutegemea tangu kuzaliwa kwangu; wewe ulinilinda nilipotoka katika tumbo la mama yangu. Nitakusifu siku zote.