Psalms 71:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa wengi nimekuwa kioja, lakini wewe u kimbilio langu imara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimekuwa ishara mbaya kwa wengi, lakini wewe ni kimbilio langu imara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimekuwa kitu cha ajabu kwa watu wengi, Na Wewe ndiwe kimbilio langu la nguvu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa wengi nimekuwa kioja, lakini wewe u kimbilio langu imara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimekuwa kama kioja kwa wengi, lakini wewe ni kimbilio langu imara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimekuwa kama kioja kwa wengi, lakini wewe ni kimbilio langu imara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimekuwa kioja kwa watu wengi, Lakini wewe ndiwe kimbilio langu la nguvu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa wengi nimekuwa kioja, lakini wewe u kimbilio langu imara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwao wengi ni kama kielekezo, wakiniona, nawe ndiwe kimbilio langu lenye nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimekuwa kitu cha ajabu kwa watu wengi, Na Wewe ndiwe kimbilio langu la nguvu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa wengi nimekuwa mushangao, lakini wewe ni kimbilio langu lenye nguvu.