Psalms 71:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kinywa changu kimejaa sifa zako, na utukufu wako mchana kutwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kinywa changu kimejazwa sifa zako, nikitangaza utukufu wako mchana kutwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kinywa changu kitajazwa sifa zako, Na heshima yako mchana kutwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kinywa changu kimejaa sifa zako, na utukufu wako mchana kutwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kinywa changu kimejazwa sifa zako, nikitangaza utukufu wako mchana kutwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kinywa changu kimejazwa sifa zako, nikitangaza utukufu wako mchana kutwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kinywa changu kitajazwa sifa zako, Na heshima yako mchana kutwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kinywa changu kimejaa sifa zako, na utukufu wako mchana kutwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kinywa changu kinazidi kukushangilia, siku zote huutangaza utukufu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kinywa changu kitajazwa sifa zako, Na heshima yako mchana kutwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kinywa changu kimejaa sifa zako, na utukufu wako muchana kutwa.