Psalms 71:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati wa uzee usinitupe; niishiwapo na nguvu usiniache.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usinitupe wakati wa uzee, wala usiniache nguvu zangu zinapopungua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usinitupe wakati wa uzee, Nguvu zangu zipungukapo usiniache.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati wa uzee usinitupe; niishiwapo na nguvu usiniache.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usinitupe wakati wa uzee, wala usiniache nguvu zangu zinapopungua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usinitupe wakati wa uzee, wala usiniache nguvu zangu zinapopungua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usinitupe wakati wa uzee, Nguvu zangu zipungukapo usiniache.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati wa uzee usinitupe; niishiwapo na nguvu usiniache.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku, nitakapokuwa mzee, usinitupe, nguvu yangu itakapoishia, usiniache!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usinitupe wakati wa uzee, Nguvu zangu zipungukapo usiniache.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati wa uzee usinitupe; ninapoishiwa na nguvu usiniachilie.