Psalms 72:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Solomoni) Ee Mungu, umjalie mfalme uamuzi wako, umpe mwanamfalme uadilifu wako;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, mjalie mfalme aamue kwa haki yako, mwana wa mfalme kwa haki yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, mpe mfalme hukumu zako, Na mwana wa mfalme haki yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, umjalie mfalme uamuzi wako, umpe mwanamfalme uadilifu wako;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Solomoni) Ee Mungu, mjalie mfalme aamue kwa haki yako, mwana wa kifalme kwa haki yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, mjalie mfalme aamue kwa haki yako, mwana wa mfalme kwa haki yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, mpe mfalme hukumu zako, Na mwana wa mfalme haki yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, umjalie mfalme uamuzi wako, umpe mwanamfalme uadilifu wako;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, mpe mfalme kuamua, kama unavyoamua! Naye mwana wa mfalme mpe wongofu ulio kama wako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, mpe mfalme hukumu zako, Na mwana wa mfalme haki yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Solomono. Ee Mungu, umujalie mufalme uwezo wa kufuata sheria yako, umupe mwana wa mufalme haki yako.