Psalms 72:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafalme wa Tarshishi na visiwa wamlipe kodi, wafalme wa Sheba na Seba wamletee zawadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali watamletea ushuru; wafalme wa Sheba na Seba watampa zawadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wafalme wa Tarshishi na visiwa na walete kodi; Wafalme wa Sheba na Seba na watoe vipawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafalme wa Tarshishi na visiwa wamlipe kodi, wafalme wa Sheba na Seba wamletee zawadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali watamletea kodi; wafalme wa Sheba na Seba watampa zawadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali watamletea kodi; wafalme wa Sheba na Seba watampa zawadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wafalme wa Tarshishi na visiwa na walete kodi; Wafalme wa Sheba na Seba na watoe vipawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafalme wa Tarshishi na visiwa wamlipe kodi, wafalme wa Sheba na Seba wamletee zawadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wafalme wa Tarsisi na wa visiwa watampelekea matunzo, nao wafalme wa Arabia na wa Saba wataleta mahongo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wafalme wa Tarshishi na visiwa na walete kodi; Wafalme wa Sheba na Seba na watoe vipawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafalme wa Tarsisi na visiwa wamulipe kodi, wafalme wa Sheba na Seba wamuletee zawadi.