Psalms 72:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafalme wote wa dunia wamheshimu, watu wa mataifa yote wamtumikie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafalme wote watamsujudia na mataifa yote yatamtumikia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, wafalme wote na wamsujudie; Na mataifa yote wamtumikie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafalme wote wa dunia wamheshimu, watu wa mataifa yote wamtumikie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafalme wote watamsujudia na mataifa yote yatamtumikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafalme wote watamsujudia na mataifa yote yatamtumikia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, wafalme wote na wamsujudie; Na mataifa yote wamtumikie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafalme wote wa dunia wamheshimu, watu wa mataifa yote wamtumikie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wafalme wote pia watamwangukia, nao wamizimu wote watamtumikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, wafalme wote na wamsujudie; Na mataifa yote wamtumikie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafalme wote wa dunia wamuheshimu, watu wa mataifa yote wamutumikie.