Psalms 72:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anawatoa katika udhalimu na ukatili, maana maisha yao ni ya thamani kubwa kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atawaokoa kutoka uonevu na ukatili, kwani damu yao ni ya thamani machoni pake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atawakomboa nafsi zao na kuonewa na udhalimu, Na damu yao ina thamani machoni pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anawatoa katika udhalimu na ukatili, maana maisha yao ni ya thamani kubwa kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atawaokoa kutoka uonevu na ukatili, kwani damu yao ni ya thamani machoni pake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atawaokoa kutoka uonevu na ukatili, kwani damu yao ni ya thamani machoni pake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atawakomboa kutoka kwa maonevu na udhalimu, Maana damu yao ina thamani machoni pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anawatoa katika udhalimu na ukatili, maana maisha yao ni ya thamani kubwa kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atazikomboa roho zao mwao wanyang'anyi namo mwao wakorofi, maana damu zao ni zenye kiasi kikubwa machoni pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atawakomboa nafsi zao na kuonewa na udhalimu, Na damu yao ina thamani machoni pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atawatoa katika mateso na ukali, maana maisha yao ni ya bei kubwa kwake.