Psalms 72:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme na aishi maisha marefu; apokee zawadi ya dhahabu kutoka Sheba; watu wamwombee kwa Mungu daima, na kumtakia baraka mchana kutwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aishi maisha marefu! Na apewe dhahabu ya Sheba. Watu wamwombee daima na kumbariki mchana kutwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi na aishi; Na wampe dhahabu ya Sheba; Na wamwombee daima; Na kumbariki mchana kutwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme na aishi maisha marefu; apokee zawadi ya dhahabu kutoka Sheba; watu wamwombee kwa Mungu daima, na kumtakia baraka mchana kutwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aishi maisha marefu! Dhahabu ya Sheba na apewe. Watu na wamwombee daima na kumbariki mchana kutwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aishi maisha marefu! Na apewe dhahabu ya Sheba. Watu wamwombee daima na kumbariki mchana kutwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na aishi maisha marefu! Na wampe dhahabu ya Sheba; Na wamwombee daima; Na kumbariki mchana kutwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme na aishi maisha marefu; apokee zawadi ya dhahabu kutoka Sheba; watu wamwombee kwa Mungu daima, na kumtakia baraka mchana kutwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na akae akiwa mwenye uzima, wamgawie nazo dhahabu za Arabia! Na wamwombee pasipo kukoma, wamtukuze siku zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi na aishi; Na wampe dhahabu ya Sheba; Na wamwombee daima; Na kumbariki mchana kutwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme aishi maisha marefu; apokee zawadi ya zahabu kutoka Sheba; watu wamwombee kwa Mungu siku zote, na kumutakia baraka muchana kutwa.