Psalms 72:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nchi na izae nafaka kwa wingi, vilima vijae mavuno kama ya Lebanoni, na watu mijini wastawi kama nyasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nafaka ijae tele katika nchi yote, juu ya vilele vya vilima na istawi. Tunda lake na listawi kama Lebanoni, listawi kama majani ya kondeni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na uwepo wingi wa nafaka Katika ardhi juu ya milima; Matunda yake na yawaye-waye kama Lebanoni, Na watu wa mjini wasitawi kama majani ya nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nchi na izae nafaka kwa wingi, vilima vijae mavuno kama ya Lebanoni, na watu mijini wastawi kama nyasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nafaka ijae tele katika nchi yote, juu ya vilele vya vilima na istawi. Tunda lake na listawi kama Lebanoni, listawi kama majani ya kondeni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nafaka ijae tele katika nchi yote, juu ya vilele vya vilima na istawi. Tunda lake na listawi kama Lebanoni, listawi kama majani ya kondeni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na uwepo wingi wa nafaka Katika ardhi juu ya milima; Matunda yake na yawayewaye kama ilivyo katika milima ya Lebanoni, Na watu wa mjini wasitawi kama majani ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nchi na izae nafaka kwa wingi, vilima vijae mavuno kama ya Lebanoni, na watu mijini wastawi kama nyasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vilaji vifurike katika nchi mpaka juu milimani! Miti yake ya matunda na ivume kama miti ya Libanoni! Namo mijini watu na wazidi kuwa wengi kama majani uwandani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na uwepo wingi wa nafaka Katika ardhi juu ya milima; Matunda yake na yawaye-waye kama Lebanoni, Na watu wa mjini wasitawi kama majani ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi itoe mazao kwa wingi, vilima vijae mavuno kama ya Lebanoni, na watu wa miji wastawi kama majani.