Psalms 72:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, ambaye peke yake hufanya miujiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahimidiwe Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, ambaye peke yake hutenda mambo ya ajabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ahimidiwe Bwana, Mungu, Mungu wa Israeli, Atendaye miujiza Yeye peke yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, ambaye peke yake hufanya miujiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA Mungu, Mungu wa Israeli, apewe sifa, yeye ambaye peke yake hutenda mambo ya ajabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, apewe sifa, yeye ambaye peke yake hutenda mambo ya ajabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ahimidiwe BWANA, Mungu, Mungu wa Israeli, Atendaye miujiza Yeye peke yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, ambaye peke yake hufanya miujiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na atukuzwe Bwana Mungu, Mungu wa Isiraeli! Yeye peke yake ndiye afanyaye vioja!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ahimidiwe BWANA, Mungu, Mungu wa Israeli, Atendaye miujiza Yeye peke yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atukuzwe Yawe, Mungu wa Israeli, ambaye peke yake anafanya miujiza.