Psalms 72:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jina lake tukufu na litukuzwe milele; utukufu wake ujae ulimwenguni kote! Amina, Amina!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jina lake tukufu lihimidiwe milele, ulimwengu wote ujae utukufu wake. Amen na Amen.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jina lake tukufu na lihimidiwe milele; Dunia yote na ijae utukufu wake. Amina na Amina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jina lake tukufu na litukuzwe milele; utukufu wake ujae ulimwenguni kote! Amina, Amina!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jina lake tukufu lisifiwe milele, ulimwengu wote ujae utukufu wake. Amen na Amen.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jina lake tukufu lisifiwe milele, ulimwengu wote ujae utukufu wake. Amen na Amen.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jina lake tukufu na lihimidiwe milele; Dunia yote na ijae utukufu wake. Amina na Amina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jina lake tukufu na litukuzwe milele; utukufu wake ujae ulimwenguni kote! Amina, Amina!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jina lake tukufu na litukuzwe kale na kale! Nchi zote na zijae utukufu wake! Amin. Amin.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jina lake tukufu na lihimidiwe milele; Dunia yote na ijae utukufu wake. Amina na Amina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jina lake tukufu litukuzwe milele; utukufu wake ujae katika ulimwengu wote! Amina, Amina!