Psalms 72:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
atawale taifa lako kwa haki, na maskini wako kwa uadilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atawaamua watu wako kwa haki, watu wako walioonewa kwa haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atawaamua watu wako kwa haki, Na watu wako walioonewa kwa hukumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
atawale taifa lako kwa haki, na maskini wako kwa uadilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atawaamua watu wako kwa haki, watu wako walioonewa kwa haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atawaamua watu wako kwa haki, watu wako walioonewa kwa haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atawaamua watu wako kwa haki, Na watu wako walioonewa kwa hukumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
atawale taifa lako kwa haki, na maskini wako kwa uadilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Awahukumu walio ukoo wako kwa wongofu, nayo mashauri yao wanyonge wako ayanyoshe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atawaamua watu wako kwa haki, Na watu wako walioonewa kwa hukumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atawale taifa lako kwa haki, na wamasikini wako kwa sheria yako.