Psalms 72:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Milima ilete fanaka kwa watu wako, vilima vijae uadilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Milima italeta mafanikio kwa watu, vilima tunda la haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Milima itawazalia watu amani, Na vilima navyo kwa haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Milima ilete fanaka kwa watu wako, vilima vijae uadilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Milima italeta mafanikio kwa watu, vilima tunda la haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Milima italeta mafanikio kwa watu, vilima tunda la haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Milima na iwaletee watu amani, Na pamoja na vilima, vilete haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Milima ilete fanaka kwa watu wako, vilima vijae uadilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Milima iwe yenye matengemano ya kuwagawia watu, navyo vilima vilevile kwa nguvu ya wongofu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Milima itawazalia watu amani, Na vilima navyo kwa haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Milima ilete ustawi kwa watu wako, vilima vijae haki.