Psalms 72:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme aishi muda mrefu kama jua, na kama mwezi, kwa vizazi vyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atadumu kama jua linavyodumu, kama mwezi, vizazi vyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watakuogopa wakati wote wa kudumu jua, Na wakati wa kung'aa mwezi kizazi hata kizazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme aishi muda mrefu kama jua, na kama mwezi, kwa vizazi vyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atadumu kama jua, kama mwezi, vizazi vyote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atadumu kama jua lidumuvyo, kama mwezi, vizazi vyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watakuogopa wakati wote wa kudumu jua, Na wakati wa kung'aa mwezi kizazi hata kizazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme aishi muda mrefu kama jua, na kama mwezi, kwa vizazi vyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jua likingali liko, watakuogopa wao wavizazi na vizazi, mwezi utakavyoviwakia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watakuogopa wakati wote wa kudumu jua, Na wakati wa kung’aa mwezi kizazi hata kizazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme aishi muda murefu kama jua, na kama mwezi, kwa vizazi vyote.