Psalms 72:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Awe kama manyunyu yaburudishayo mashamba, kama mvua iinyweshayo ardhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atakuwa kama mvua inavyonyesha juu ya shamba lililofyekwa, kama manyunyu yanavyonyeshea ardhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atashuka kama mvua juu ya majani yaliyokatwa, Kama manyunyu yainyweshayo nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Awe kama manyunyu yaburudishayo mashamba, kama mvua iinyweshayo ardhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atakuwa kama mvua inyeshayo juu ya shamba lililofyekwa, kama manyunyu yanyeshayo ardhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atakuwa kama mvua inyeshayo juu ya shamba lililofyekwa, kama manyunyu yanyeshayo ardhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atashuka kama mvua juu ya majani yaliyokatwa, Kama manyunyu yainyweshayo nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Awe kama manyunyu yaburudishayo mashamba, kama mvua iinyweshayo ardhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atashuka kama mvua inyweshayo uchome, au kama manyunyu ya mvua yalegazayo nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atashuka kama mvua juu ya majani yaliyokatwa, Kama manyunyu yainyweshayo nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akuwe kama manyunyu yanayolowanisha mashamba, kama mvua inayonyeshea udongo.