Psalms 72:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uadilifu ustawi maisha yake yote, na amani kwa wingi mpaka mwezi ukome.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku zake wenye haki watastawi; mafanikio yatakuwepo hadi mwezi utakapokoma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zake yeye, mtu mwenye haki atasitawi, Na wingi wa amani hata mwezi utakapokoma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uadilifu ustawi maisha yake yote, na amani kwa wingi mpaka mwezi ukome.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku zake wenye haki watastawi; mafanikio yatakuwepo mpaka mwezi utakapokoma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku zake wenye haki watastawi; mafanikio yatakuwepo mpaka mwezi utakapokoma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haki na isitawi wakati wa maisha yake yote, Nayo amani iwepo, hadi mwezi utakapokoma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uadilifu ustawi maisha yake yote, na amani kwa wingi mpaka mwezi ukome.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwongofu atachipuka siku, atakazokuwapo; mpaka mwezi utakapokuwa hauko tena, utengemano utazidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zake yeye, mtu mwenye haki atasitawi, Na wingi wa amani hata mwezi utakapokoma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haki istawi maisha yake yote, na amani kwa wingi mpaka mwezi ukome.