Psalms 72:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atawale kutoka bahari hata bahari, kutoka mto Eufrate hata mipaka ya dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atatawala kutoka bahari hadi bahari na kutoka Mto hadi miisho ya dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na awe na enzi toka bahari hata bahari, Toka Mto hata miisho ya dunia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atawale kutoka bahari hata bahari, kutoka mto Eufrate hata mipaka ya dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atatawala kutoka bahari hadi bahari na kutoka Mto mpaka miisho ya dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atatawala kutoka bahari hadi bahari na kutoka Mto mpaka miisho ya dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na awe na enzi toka bahari hadi bahari, Toka Mto hadi miisho ya dunia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atawale kutoka bahari hata bahari, kutoka mto Eufrate hata mipaka ya dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atatawala, bahari inakoanzia, mpaka huko, inakoishia, tena kuanzia kwenye jito kubwa mpaka mapeoni kwa nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na awe na enzi toka bahari hata bahari, Toka Mto hata miisho ya dunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atawale kutoka bahari hata bahari, kutoka muto Furati hata miisho ya dunia.