Psalms 72:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maadui zake wakaao nyikani wanyenyekee mbele yake, washindani wake walambe vumbi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makabila ya jangwani watamsujudia, na adui zake wataramba mavumbi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaao jangwani na wainame mbele zake; Adui zake na warambe mavumbi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maadui zake wakaao nyikani wanyenyekee mbele yake, washindani wake walambe vumbi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makabila ya jangwani watamsujudia, na adui zake wataramba mavumbi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makabila ya jangwani watamsujudia, na adui zake wataramba mavumbi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaao jangwani na wainame mbele zake; Adui zake na warambe mavumbi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maadui zake wakaao nyikani wanyenyekee mbele yake, washindani wake walambe vumbi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaao nyikani watampigia magoti, sharti walambe mavumbi walio adui zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaao jangwani na wainame mbele zake; Adui zake na warambe mavumbi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waadui zake wanaokaa katika jangwa wanyenyekee mbele yake, wapinzani wake walambule vumbi.