Psalms 73:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Asafu) Hakika, Mungu ni mwema kwa watu wanyofu; ni mwema kwa walio safi moyoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli, kwa wale ambao mioyo yao ni safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli, Kwa hao walio safi mioyo yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakika, Mungu ni mwema kwa watu wanyofu; ni mwema kwa walio safi moyoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Asafu) Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli, kwa wale ambao mioyo yao ni safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli, kwa wale ambao mioyo yao ni safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli, Kwa hao walio safi mioyo yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakika, Mungu ni mwema kwa watu wanyofu; ni mwema kwa walio safi moyoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli Mungu huwaendea Waisiraeli kwa kuwa mwema, ni wao wenye mioyo iliyong'aa
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli, Kwa hao walio safi mioyo yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Asafu. Hakika, Mungu ni muzuri kwa Israeli, kwa watu wenye moyo safi.