Psalms 73:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata watu wa Mungu wanawafuata, hawaoni kwao chochote kibaya na kusadiki kila wanachosema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo watu wao huwageukia na kunywa maji tele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo watu wake hugeuka huko, Na maji yaliyojaa humezwa nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata watu wa Mungu wanawafuata, hawaoni kwao chochote kibaya na kusadiki kila wanachosema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo watu wao huwageukia na kunywa maji tele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo watu wao huwageukia na kunywa maji tele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo watu wake hugeuka huko, Na maji yaliyojaa humezwa nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata watu wa Mungu wanawafuata, hawaoni kwao chochote kibaya na kusadiki kila wanachosema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hii watu wa kwao hurudi upande wao wakipenda kujinywesha maji yao mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo watu wake hugeuka huko, Na maji yaliyojaa humezwa nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata watu wa Mungu wanawafuata, hawaoni kwao kitu chochote kibaya na kusadiki kila wanachosema.