Psalms 73:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivi ndivyo watu waovu walivyo; wana kila kitu na wanapata mali zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi ndivyo walivyo waovu: siku zote hawajali, wanaongezeka katika utajiri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fahamu, ndivyo walivyo wasio haki, Na kwa kustarehe sikuzote wamepata mali nyingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivi ndivyo watu waovu walivyo; wana kila kitu na wanapata mali zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivi ndivyo walivyo waovu: siku zote hawajali, wanaongezeka katika utajiri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivi ndivyo walivyo waovu: siku zote hawajali, wanaongezeka katika utajiri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fahamu, ndivyo walivyo wasio haki, Na kwa kustarehe siku zote wamepata mali nyingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivi ndivyo watu waovu walivyo; wana kila kitu na wanapata mali zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama, hivyo ndivyo, wasiomcha Mungu walivyo, ndivyo, wanavyojituliza kale na kale kwa kulimbika mali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fahamu, ndivyo walivyo wasio haki, Na kwa kustarehe sikuzote wamepata mali nyingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi ndivyo watu waovu wanavyokuwa; wako na kila kitu, nao wanapata hata zaidi.