Psalms 73:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, nimetunza bure usafi moyoni, na kujilinda nisitende dhambi?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika nimeuweka moyo wangu safi bure, ni bure nimenawa mikono yangu nisiwe na hatia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika nimejisafisha moyo wangu bure, Nimenawa mikono yangu kwa kutokukosa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, nimetunza bure usafi moyoni, na kujilinda nisitende dhambi?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika nimeuweka moyo wangu safi bure, ni bure nimenawa mikono yangu nisiwe na hatia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika nimeuweka moyo wangu safi bure, ni bure nimenawa mikono yangu nisiwe na hatia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika nimejisafisha moyo wangu bure, Na kunawa mikono yangu nisitende dhambi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, nimetunza bure usafi moyoni, na kujilinda nisitende dhambi?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni bure kweli, nikiuangalia moyo wangu, uwe umetakata, nikiinawa mikono yangu kwa maji yaondoayo makosa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika nimejisafisha moyo wangu bure, Nimenawa mikono yangu kwa kutokukosa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli ni kwa bure nimejichunga katika usafi wa moyo, na kujilinda nisitende zambi?