Psalms 73:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mchana kutwa nimepata mapigo, kila asubuhi nimepata mateso.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mchana kutwa nimetaabika, nimeadhibiwa kila asubuhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mchana kutwa nimepigwa, Na kuadhibiwa kila asubuhi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mchana kutwa nimepata mapigo, kila asubuhi nimepata mateso.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mchana kutwa nimetaabika, nimeadhibiwa kila asubuhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mchana kutwa nimetaabika, nimeadhibiwa kila asubuhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mchana kutwa nimepigwa, Na kuadhibiwa kila asubuhi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mchana kutwa nimepata mapigo, kila asubuhi nimepata mateso.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikawa nimeteseka mchana kutwa, nayo mapatilizo yangu yalikuwa yako kila kulipokucha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mchana kutwa nimepigwa, Na kuadhibiwa kila asubuhi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muchana kutwa ninapata mapigo, kila asubui nimepata mateso.