Psalms 73:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama ningalisema hayo kama wao, ningalikuwa mhaini miongoni mwa watu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama ningesema, “Nitasema hivi,” ningekuwa nimewasaliti watoto wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama ningalisema, Nitasimulia kama hayo; Kumbe! Ningaliwadanganya kizazi cha wana wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama ningalisema hayo kama wao, ningalikuwa mhaini miongoni mwa watu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ningesema, “Nitasema hivi,” ningelikuwa nimewasaliti watoto wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ningesema, “Nitasema hivi,” ningelikuwa nimewasaliti watoto wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama ningalisema, Nitasimulia kama hayo; Kumbe! Ningaliwadanganya kizazi cha wana wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama ningalisema hayo kama wao, ningalikuwa mhaini miongoni mwa watu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ningaliwaza kwamba; nami niseme kama wao hao, kweli walio kizazi cha watoto wako ningaliwaacha, nikavunja agano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama ningalisema, Nitasimulia kama hayo; Kumbe! Ningaliwadanganya kizazi cha wana wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ningalisema kama wao, ningalikuwa mwenye uasi kati ya watu wako.