Psalms 73:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nilijaribu kufikiria jambo hili, lakini lilikuwa gumu mno kwangu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilipojaribu kuelewa haya yote, yalikuwa magumu kwangu kuelewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nalifikiri jinsi ya kufahamu hayo; Ikawa taabu machoni pangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nilijaribu kufikiria jambo hili, lakini lilikuwa gumu mno kwangu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilipojaribu kuelewa haya yote, yalikuwa magumu kwangu kuelewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilipojaribu kuelewa haya yote, yalikuwa magumu kwangu kuelewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nilifikiri jinsi ya kufahamu hayo; Ikawa taabu machoni pangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nilijaribu kufikiria jambo hili, lakini lilikuwa gumu mno kwangu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, nikayatia moyoni, niyatambua hayo; lakini nilipoyatazama, yakaniwia mazito,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nalifikiri jinsi ya kufahamu hayo; Ikawa taabu machoni pangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nilijaribu kufikiri juu ya jambo hili, lakini lilikuwa gumu sana kwangu,