Psalms 73:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mpaka nilipoingia patakatifu pako. Ndipo nikatambua yatakayowapata waovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hadi nilipoingia patakatifu pa Mungu, ndipo nilitambua mwisho wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata nilipoingia katika patakatifu pa Mungu, Nikautafakari mwisho wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mpaka nilipoingia patakatifu pako. Ndipo nikatambua yatakayowapata waovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpaka nilipoingia mahali patakatifu pa Mungu, ndipo nilipotambua mwisho wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpaka nilipoingia patakatifu pa Mungu, ndipo nilipotambua mwisho wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata nilipoingia katika patakatifu pa Mungu, Nikautafakari mwisho wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mpaka nilipoingia patakatifu pako. Ndipo nikatambua yatakayowapata waovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mpaka nikapaingia Patakatifu pake Mungu; ndipo, nilipoyatambua kwa kutazama, jinsi mwisho wao ulivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata nilipoingia katika patakatifu pa Mungu, Nikautafakari mwisho wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mpaka nilipoingia pahali pako patakatifu. Halafu nikatambua yatakayowapata waovu.